EURO 2016::UJERUMANI YAANZA KWA KUGAWA DOZI YA 2:0 KWA UKRAINE
Nyota wa Ujerumani, Shkodran Mustafi (kulia) akishangilia na wachezaji wenzake, Sami Khedira (Namba 6) na Jerome Boateng (Namba 17) baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 19 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Ukraine Uwanja wa Stade Pierre-Mauroy mjini Villeneuve d'Ascq kwenye mchezo wa Kundi C Euro 2016.
Bao la pili la Ujerumani limefungwa na Bastian Schweinsteiger dakika ya 90.
Matukio katika picha..
Mshambuliaji wa Ujerumani Mario Gotze (kushoto) akichuana na beki wa Ukraine Vyacheslav Shevchuk |
Kipa Manuel Neuer akilalama kwa muamuzi ili kupinga goli lililofungwa na mchezaji wa Ukraine akiwa ameotea PICHA NA AP |
0 comments:
Post a Comment