Thursday 9 June 2016

COUTINHO APIGA HAT TRICK BRAZIL IKIICHAKAZA HAITI 7-1 COPA AMERICA

Kiungo wa Liverpool ya England, Philippe Coutinho akikimbia kushangikia baada ya kuifungia mabao matatu Brazil katika ushindi wa 7-1 dhidi ya Haiti kwenye mchezo wa Copa America Uwanja wa Camping World mjini Orlando, Marekani. 

Mabao mengine ya Brazil yamefungwa na Renato Augusto mawili, Gabriel Barbosa na Lucas Lima, wakati la Haiti limefungwa na James Marcelin.


0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA