Sunday 26 June 2016

EURO 2016:: GRIEZMANN AIBEBA UFARANSA NA KUTINGA ROBO FAINALI

Wenyeji Ufaransa wametoka nyuma na kufanikiwa kuifunga Jamhuri ya Ireland, ambayo ilimaliza mchezo wa robo fainali ya Euro 2016 ikiwa na wachezaji 10, na kulala 2-1.

Jamhuri ya Ireland ilianza kwa kushtukiza na kuongoza katika dakika ya pili, baada ya Robbie Brady kutumbukiza golini mpira wa penati baada ya Shane Longo kuchezewa rafu.
Hata hivyo Ufaransa walisawazisha kupitia kwa Antoine Griezmann, kabla ya baadaye kufunga goli la pili la ushindi.
   Olivier Giroud akimshika mkono Antoine Griezmann baada ya kufunga goli la kusawazisha
              Antoine Griezmann mwenye jezi namba saba akipachika goli la pili la Ufaransa

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA