EURO 2106::BEKI PIQUE AIBEBA HISPANIA KATIKA USHINDI WA 1 : 0
Gerad Pique akijitwisha kichwa kilichomshinda Peter Cech na kujaa wavuni na kuipatia Hispania goli pekee na la ushindi |
Beki wa Barcelona, Gerard Pique akikimbia kushangilia huku akifuata na mchezaji mwenzake, Sergio Ramos wa Real Madrid baada ya kuifungia Hispania bao pekee katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Jamhuri ya Czech kwenye mchezo wa Kundi D Euro 2016 Uwanja Manispaaa mjini Toulouse, Ufaransa
|
0 comments:
Post a Comment