MAFURIKO YALETA MAAFA NCHINI UINGEREZA
Mafuriko yameyakumba baadhi ya maeneo ya Uingereza baada ya mvua kubwa kuonyesha huku mvua zaidi zikitegemewa eneo la kusini mwa nchi hiyo hii leo.
Mamlaka ya Hali ya Hewa ya nchi hiyo imetoa tahadhari ya kuwepo kwa hali mbaya ya hewa inayoambatana na mvua kubwa.
Wakala wa Mazingira wa Uingereza imetoa tahadhari ya mafuriko katika maeneo 10 na kutaka hatua za haraka kuchukuliwa kunusuru maisha ya watu na mali zao.
Gari likiwa limesombwa na maji likiwa chini ya daraja
0 comments:
Post a Comment