WAFANYAKAZI TBL KIWANDA CHA MOSHI WASHIRIKI KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUFANYA USAFI KATIKA UWANJA WA MASHUJAA
![]() |
Meneja wa kiwanda cha TBL Moshi Malting Plant ,Vitus Muhusi (kushoto) pamoja na Malting Engineer ,Venance Mwakosya ,wakifyeka nyasi ikiwa ni sehemu ya kushiriki kuadhimisha siku ya mazingira duniani |
![]() |
Gloria Mtenga - Malting Administrative Co-ordinator akishiriki usafi |
![]() |
Wafanyakazi wa TBL wakiendelea kufyeka Nyasi katika uwanja wa mashujaa |
0 comments:
Post a Comment