Sunday 3 July 2016

EURO 2016:: PENALTY ZA KIHISTORIA DHIDI YA ITALIA ZAIPELEKA UJERUMANI NUSU FAINALI

Jonas Hector proved Germany's hero as his spot-kick saw them prevail 6-5 in their penalty shootout against Italy

Jonas Hector akishangilia penalti yake iliyoipa Ujerumani ushindi dhidi ya Italia

UJERUMANI imekosa penalti tatu katika hatua ya mikwaju ya penalti kwenye mchezeo wa robo fainali dhidi ya Italia, lakini bado wakashinda na kutinga nusu fainali ya Euro 2016. 

Timu hizo zilikwenda sare ya 1-1 ndani ya dakika 120 na ilipofika hatua ya mikwaju ya penalti Ujerumani wakashinda 6-5. 
Hector was mobbed by his team-mates as Germany's squad celebrated their narrow passage to the Euro 2016 semi-finals

Miamba hiyo ya soka barani Ulaya ililazimika kwenda hadi penalti ya tisa ndipo mshindi alipopatikana kwa Italia kupoteza jumla ya penalti nne huku Ujerumani wakipoteza tatu. 

Ujerumani walipata bao la kuongoza dakika ya 65 kupitia kwa Mesut Ozil lakini Leonardo Bonucci akaisawazishia Italia kwa njia ya penalti dakika ya 78.  
 Hivi ndivyo penalti zilivyopigwa  
Germany's emotions contrasted considerably with Italy who lost to their opponents for the first-time ever at an international tournament
Italia hoi 

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA