Sunday, 21 August 2016

BURNLEY YAIPA LIVERPOOL "SUPRISE" YA KIPIGO CHA 2 : 0


Magoli ya nusu ya kipindi cha kwanza ya Sam Vokes na Andre Gray yameipatia Burnley ushindi wa kushtukiza wa magoli 2-0 dhidi ya Liverpool, ambao watajutia makosa ya safu yao ya ulinzi.

Nathaniel Clyne alipoteza mpira na kuipatia Burnley goli la kwanza baada ya Gray kuunasa mpira na kumpasia Vokes na kuandika goli la kwanza. Steven Defour, akicheza kwa mara ya kwanza alimtengea pasi Gray na kuandika goli la pili.
                     Sam Vokes akiachia shuti na kuandika goli la kwanza kwa Burnley 
                                                                  Gray akiiandikia Burnley goli la pili 

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA