MTOTO WA MIAKA 7 AKUTWA HAI KWENYE KIFUSI BAADA YA SAA 17 KUPITA
Katika hali isiyo ya kawaida waokoaji wamefanikiwa kumuokoa mtoto wa kike wa miaka 7 aliyenasa kwenye kifusi cha nyumba akiwa kichwa chini baada ya kupita saa 17 tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi nchini Italia.
Waokoaji walijikuta wakishangilia kwa furaha huku wakipaza sauti zao wakisema “yupo hai' wakati wakimchomoa kwenye kifusi bindi huyo, kufuatia tetemeko la ardhi lililokwisha uwa watu 247 na kujeruhi wengine wengi.
Waokoaji wakiendelea na kazi ya kutafuta watu waliofukiwa kwenye vifusi
Waokoaji wakimchomoa mtu aliyekuwa amekwama kwenye vifusi
Waokoaji wakimvuta mtu mwingine kutoka kwenye vifusi
0 comments:
Post a Comment