WANANCHI WAJITOKEZA KUUPOKEA MWENGE WA UHURU JIJINI ARUSHA
Mkuu wa wilaya ya Arusha,Gabriel Daqarro akiwa ameshika Mwenge wa Uhuru uliopokelewa leo katika Jiji la Arusha eneo la Kisongo kwaajili ya kukimbizwa kwa siku moja katika urefu wa Kilometa 81.19 katika Tarafa tatu. |
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa,George Mbijima akizindua Soko la Mazao mchanyiko katika Kata ya Elerai jijini Arusha . |
Sehemu ya wananchi waliojitokeza kuulaki Mwenge wa Uhuru katika viwanja vya Shule ya Sekondari Kimandolu ambako mradi wa maji ulizinduliwa. |
0 comments:
Post a Comment