Wednesday 17 August 2016

NEWS ALERT:.CHANGAMKIA FURSA YA KUSOMA SHAHADA NA STASHAHADA YA OIL & GAS MANAGEMENT NCHINI UGANDA



logo
Je upo  Tanzania na ulikosa sifa ya kujiunga na elimu ya juu, Ndoto zako zingali na nafasi ya kutimia hata matokeo uliyonayo  Intitute of Petroleum Studies Kampala (IPSK) ya nchini Uganda ikishirikiana na Uganda Commission of University (UCU)  inakupa fursa ya kusoma Shahada ya kwanza pamoja na Stashahada katika  kozi  ya kipekee iliyolenga  kuzalisha wahitimu bora zaidi kwa sekta ya nishati katika kanda ya Afrika Mashariki kwa mwaka wa masomo 2016/2016.

Kwa Shahada mhitimu anatakiwa kuwa na alama mbili za ufaulu (two principle passes "E") kwa mtihani wa kidato cha sita na alama moja ya ufaulu (one  principle pass) kwa stashahada bila kujali kozi uliyosoma na mwisho wa Usaili ni mwezi wa tisa mwaka huu.

Sambamba na hilo elimu inayotolewa pamoja na ubaora wa  walimu tulio nao vinauwiano  na  mahitajihalisi katika sekta hii nyeti kwa kiasi kikubwa hasa katika kutilia  nguvu mifumo bora na kumjenga mwanafunzi  kitaaluma imara na katika hili ubora wahitimu wetu ni zaidi uhakika kuwa katika mbele ya soko la  ajira ndani ya mafuta na gesi sekta hiyo.
Kozi hizi zinatolewa kwa muda wa miaka mitatu (3 )  Shahada ya kwanza na mwaka mmoja (1 mwaka) kwa Stashahada.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi +255 655 528 934.

For Bachelor Click Here
For Diploma click here

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA