CHELSEA YAMREJESHA BEKI DAVID LUIZ DARAJANI
Chelsea imemrejesha tena katika dimba la Stamford Bridge, David Luiz, baada ya kukamilisha uhamisho wa paundi milioni 32.
Beki huyo raia wa Brazil amejiunga tena na ligi kuu ya Uingereza kwa mkataba wa miaka mitatu baada ya kuondoka muda wa miaka miwili, baada ya kuondoka kujiunga na Paris Saint-Germain ya Ufaransa.
0 comments:
Post a Comment