Saturday 1 October 2016

MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI YA MKOA WA DOOMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea hospitali ya mkoa wa Dodoma Oktoba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa maelekezo ya kuboresha usafi wa mazingira ya hospitali ya Mkoa wa Dodoma wakati alipoitembelea hospitali hiyo Oktoba 1, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa hospitali ya mkoa wa Dodoma baada ya kutembelea hospitali hiyo Oktoba 1, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya watumishi wa hospitali ya mkoa wa Dodoma wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao baada ya kuitembelea hospitali hiyo, Oktoba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA