Saturday 1 October 2016

WILLIAN, COSTA WAIWEZESHA CHELSEA KUNYAKUA POINT 3 KWA HULL CITY


Timu ya Chelsea wamekomesha mwendo wa kuvurunda katima mechi baada ya kufanikiwa kupata ushindi katika Ligi Kuu ya Uingereza kwa kuifunga Hull City magoli 2-0 katika dimba la KCOM.

Wenyeji Hull walionekana kujilinda vyema katika kipindi cha kwanza, lakini Willian aliipatia Chelsea goli la kwanza kwa mpira wa kuzungusha baada ya kazi nzuri ya Diego Costa.

Katika mchezo huo Diego Costa naye alipachika goli kwa kupiga mpira kwa namna kama ile aliyofunga Willian baada ya kazi nzuri ya Nemanja Matic aliyekimbia vyema na mpira uliozaa goli.
                 Willian akipiga mpira wa kuzungusha na kufunga goli la kwanza kwa Chelsea

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA