Friday 21 October 2016

MFALME MOHAMMMED WA VI WA MOROCCO KUFANYA ZAIARA YA SIKU TATU NCHINI


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiongea na Wahandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu ziara rasmi ya siku tatu ya Mfalme Mohammed wa VI wa Morocco nchini. Mkutano huo ulifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara Jijini Dar es Salaam. Mfalme Mohammed wa VI wa Morocco anatarajiwa kuanza ziara hiyo tarehe 23 hadi 25 Oktoba, 2016. Baadhi ya wanahabari wakimsikiliza Mhe. Waziri Balozi Dkt. Augustine Mahiga

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA