MPIGIE KURA MTANZANIA "BEN BREAKER" ,TUZO ZA ABRYANZ STYLE AND FASHION AWARDS
Muwezeshe kijana Bernad Malima " BEN BREAKER" Kuwa mshindi katika tuzo za Abryanz Style And Fashion Awards.
FUATA MAELEKEZO HAYA
1. Bonyeza sehemu iliyoandikwa male model of the year 2. Baada ya hapo bonyeza sehemu iliyoandikwa vote for East African Rising model of the Year
3. bonyeza sehemu yenye jina Ben Breaker itakupeleka sehemu iliyoandikwa connect to vote
4. Chagua kuvote eitha kwa facebook,twiter au email yako ya google (google+)
5. Login kwa kutumia ulichochagua hapo juu
6 . Unaeza kupiga kura mara tatu kwa siku kwa kuconnect to facebook kura 1 ,twitter kura 1 na google + kura moja
Ukifanya hivyo utakuwa umeshanipigia kura Asante kwa kura yako ya ushindi🙏🏿
0 comments:
Post a Comment