Thursday 26 January 2017

MISRI, GHANA ZAFUZU ROBO FAINALI AFCON, UGANDA KUREJEA NA ALAMA MOJA

Misri imetinga robo fainali ya kombe la Mataifa ya Afrika katika kundi D kwa ushindi wa goli 1-0 dhidi ya timu iliyokwisha fuzu ya Ghana ambayo imemaliza ya pili.

Mohamed Salah alifunga goli muhimu la Misri kwa mkwaju wa adhabu uliopenya kati kati ya ngome ya mabeki wa Ghana na kujaa wavuni.

Kosa la golikipa wa Ghana, Brimah Razak, lilitoa fura kwa Marwan Mohsen kuweza kuongeza goli la pili lakini akapiga mpira nje.
                                    Mohamed Salah akifunga goli kwa mkwaju wa mpira wa adhabu

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA