Sunday, 16 April 2017

RAIS DKT. MAGUFULI ASALI IBADA YA PASAKA KATIKA KANISA LA AFRICA INLAND CHURCH PASTORATE YA MAGOMENI JIJINI DAR ES SALAAM

Displaying 1.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Baba Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu Charles Salala mara baada ya kuwasili kanisani hapo kwa ajili ya Ibada ya Siku ya Pasaka.

Displaying 2.jpg


Displaying 4.jpg


Displaying 5.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli katika Ibada ya Pasaka katika wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni jijini Dar es Salaam.
Displaying 6....jpg


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waumini wa Kanisa hilo la la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni jijini Dar es Salaam mara baada ya Ibada ya Pasaka.

Displaying 7.jpg
Wanakwaya katika Kanisa hilo wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza mara baada ya Ibada


Displaying 9.jpg


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Baba Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu Charles Salala mara baada ya Ibada ya Pasaka kanisani hapo.

Displaying 11.jpg

Baba Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu Charles Salala akimuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya Ibada ya Pasaka kanisani hapo AIC Pastorate ya Magomeni jijini Dar es Salaam.


Displaying 13.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Baba Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu Charles Salala wakati akiondoka Kanisani hapo AIC Pastorate ya Magomeni jijini Dar es Salaam.

Displaying 14.jpg

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiagana na Baba Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu Charles Salala wakati akiondoka Kanisani hapo AIC Pastorate ya Magomeni jijini Dar es Salaam

Picha Na Ikulu

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA