Sunday 18 June 2017

TANESCO YAKANUSHA TAARIFA YA KUUZA MITAMBO YA KINYEREZI

Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO),limekanusha taarifa ya gazeti la Mwananchi iliyosema kuwa vifaa vya mitambo ya Kinyerezi hatarini kwa kuuzwa.

Tanesco imekanusha taarifa hizo, kuwa si za kweli ni upotoshaji kwa umma huku shirika hilo likidai linaendele na ulipaji kodi.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA