LIONEL MESSI AAGA UKAPERA
Nyota wa Barcelona Lionel Messi na mchumba wake Antonella Roccuzzo wamefunga ndoa na kufanya sherehe ya matanuzi huko Rosario Ijumaa usiku.
Wanandoa hao walionyesha upendo wao wa dhati mbele ya camera wakibusiana baada ya kufunga ndoa huku wakikatiza juu ya zulia jekundu.
Lionel Messi akiwa mwenye furaha huku akishikana mkono na mkewe Antonella Roccuzzo
Xavi Alonso, Cesc Fabregas na Carlos Puyol na wenza wao wakihudhuria sherehe ya harusi ya Lionel Messi
Luis Surez na mwenza wake naye alikuwa miongoni mwa wageni waalikwa
Angel Di Maria naye alijitokeza kutoa sapoti kwa Muargentina mwenzake
Samuel Eto'o ambaye aliwahi kucheza na Messi Barcelona pia alihudhuria harusi ya Lionel Messi
Lionel Messi akionyesha ishara ya dole gumba kuwashukuru wageni waalikwa wakiwemo wachezaji wenzake wa sasa na wazamani wa Barcelona
0 comments:
Post a Comment