Tuesday 25 January 2022

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA WAMACHINGA WA MKOA WA DAR ES SALAAM, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Wamachinga wa Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na Viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam leo tarehe 25 Januari, 2022.







Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Viongozi mbalimbali wa Wamachinga kutoka Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na Viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam leo tarehe 25 Januari, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu Mwenyekiti wa Wamachinga Taifa Bw. Stephen Lusinde mara baada ya kuzungumza na viongozi hao wa Wamachinga Ikulu Jijini Dar es Salaam leo 25 Januari, 2022.

 

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA