Tuesday 22 March 2022

PROF. MBARAWA ARIDHISHWA KASI YA UJENZI BWAWA LA NYERERE


Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akimsikiliza kwa makini Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya TECU, Eng. Lutengano Mwandambo (kulia) anayesimamia ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julias Nyerere (JNHPP-MW2115), alipokagua maendeleo ya mradi huo.



Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya TECU, Eng. Lutengano Mwandambo  anayesimamia ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julias Nyerere (JNHPP-MW2115), akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na ujumbe wake (hawapo pichani), alipokagua maendeleo ya mradi huo.



Baadhi ya wahandisi wanaosimamia ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julias Nyerere (JNHPP-MW2115), wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani) alipokagua maendeleo ya mradi huo.





Muonekano wa miundombinu ya Bwawa la Umeme la Julias Nyerere (JNHPP-MW2115), ambalo ujenzi wake unaendelea Rufiji mkoani Pwani.





Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akisisitiza jambo kwa Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya TECU, Eng. Lutengano Mwandambo alipokagua maendeleo ya ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julias Nyerere (JNHPP-MW2115).




Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya TECU, Eng. Lutengano Mwandambo  anayesimamia ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julias Nyerere (JNHPP-MW2115), akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na ujumbe wake walipokagua maendeleo ya mradi huo unaoendelea Rufiji mkoani Pwani.


 

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA