TCAA, WADAU WAJADILI UPANUZI WA SOKO LA USAFIRI WA ANGA NCHINI
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Profesa Longinus Rutasitara akifungua mkutano wa wadau wa TCAA uliokuwa na lengo la kujadili kuwepo kwa ushindani kwenye soko la watoa huduma za anga ardhini hasa kwenye huduma ya mizigo ya Ndege uliofanyika katika Ukumbi wa Mamlaka hiyo yaliyopo Banana-Ukonga Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA),Hamza S.Johari akizungumza pamoja na kumkaribisha Mwenyekiti wa Bodi ya TCAA, Profesa Longinus Rutasitara wakati wa mkutano wa wadau wa TCAA uliokuwa na lengo la kujadili kuwepo kwa ushindani kwenye soko la watoa huduma za anga ardhini hasa kwenye huduma ya mizigo ya Ndege uliofanyika katika Ukumbi wa Mamlaka hiyo yaliyopo Banana-Ukonga Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA),Hamza S.Johari akiwasilisha mada wakati wa mkutano wa wadau wa TCAA uliokuwa na lengo la kujadili kuwepo kwa ushindani kwenye soko la watoa huduma za anga ardhini hasa kwenye huduma ya mizigo ya Ndege uliofanyika katika Ukumbi wa Mamlaka hiyo yaliyopo Banana-Ukonga Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau wa Usafiri wa Anga wakitoa maoni kwenye mkutano wa wadau wa TCAA uliokuwa na lengo la kujadili kuwepo kwa ushindani kwenye soko la watoa huduma za anga ardhini hasa kwenye huduma ya mizigo ya Ndege uliofanyika katika Ukumbi wa Mamlaka hiyo yaliyopo Banana-Ukonga Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau wa Usafiri wa Anga wakifuatilia mada kwenye mkutano wa wadau wa TCAA uliokuwa na lengo la kujadili kuwepo kwa ushindani kwenye soko la watoa huduma za anga ardhini hasa kwenye huduma ya mizigo ya Ndege uliofanyika katika Ukumbi wa Mamlaka hiyo yaliyopo Banana-Ukonga Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Profesa Longinus Rutasitara (wa pili kulia) akifunga mkutano wa wadau wa TCAA uliokuwa na lengo la kujadili kuwepo kwa ushindani kwenye soko la watoa huduma za anga ardhini hasa kwenye huduma ya mizigo ya Ndege uliofanyika katika Ukumbi wa Mamlaka hiyo yaliyopo Banana-Ukonga Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment