HUYU NDIYE MBUNGE WA KWANZA WA CCM KUJITOKEZA KUPINGA SERIKALI MBILI 00:38 | No Comments | Mh. Deo Filikunjombe Mbunge wa CCM wa Ludewa, amekuwa Mbunge wa kwanza kujitokeza wazi Bungeni kuungana na Wabunge wa Chadema kwa kuimba "Hapana" kwa maana ya kutaka kupiga kura kwa siri ambao ndio hasa msimamo wa wabunge wote wasiotaka Muungano, Share This: Facebook Twitter Google+ Stumble Digg Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
0 comments:
Post a Comment