WACHINA KESI YA SAMAKI WA MAGUFURI WASHINDA RUFAA
RAIA WA KIGENI wawili Tsu Chin Tai na Zhao Hanqueing waliokuwa wanatetewa na wakili John Mapinduzi na Ibrahim Bendera, Februali 23 Mwaka 2012 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ,iliwakuta na hatia katika kwa kosa la kufanya uvuvi haramu katika bahari ya Hindi Ukanda wa Tanzania, maarufu kesi samaki wa Magufuli"kifungo Cha jumla ya Miaka 30 Jela au KULIPA faini ya sh. Bilioni 22,
na wananchi blog
0 comments:
Post a Comment