Friday 21 March 2014

TAZAMA PICHA ZA BAADHI YA WASANII WENYE UMRI SAWA NA DIAMOND PLATNUMZ.............

 

Diamond alizaliwa tarehe 2, October mwaka 1989 katika Hospitali ya Amana Dar es salaam.Kwa mwaka huu diamond anategea kufikisha robo karne kwa kutimiza miaka 25. Akiwa huu ni mwaka wa 6 ndani ya game ungeweza kufikiria jamaa ameshachoka lakini chakujua ni kwamba umri wake bado unaruhusu.tovuti hii inakuletea list ya celebrities ambao wanamiaka sawa na diamond platnumz.
 
KWA PICHA ZA WASANII HAO ZAMA ZAIDI UKURASA WA NDANI YA BONGO..

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA