MBINU MPYA YA KUSAFIRISHA MADAWA YA KULEVYA YANGUNDULIKA..WAJAWAZITO WATUMIKA
Baada ya Mambo kuwa magumu kwa wasafirishaji wa madawa ya kulevya ..sasa wamegundua njia mpya ya kusafirisha madawa ya kulevya kwa kuwatumia waja wazito kwa kuwa huwa hawakaguliwi kwenye x ray za airport
....siku za karibuni wamekamatwa wanawake kadhaa wajawazito ambao walikuwa wamemeza madawa ya kulevya ...Njia nyingine inayotumika ni kusafirisha madawa hayo kwa kutumia Cargo ambayo ni mizigo mikubwa ambayo huwekwa nyuma ya ndege chini .NA matukio blg
0 comments:
Post a Comment