MAJINA YA WALIOMALIZA FORM SIX MWAKA 2014 WANAOTAKIWA KWENDA KURIPOTI JESHINI KWA MAFUNZO HAYA HAPA
UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA WANAOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2014.
-
AWAMU YA KWANZA; VIJANA 20,000 WATARIPOTI KWENYE
MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 01 JUNI 2014 NA KUANZA RASMI
MAFUNZO YAO TAREHE 08 JUNI 2014 NA KUMALIZA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014.
ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014
KUANZIA SAA NNE (4) ASUBUHI.
-
AWAMU YA PILI; VIJANA 14450 WATARIPOTI KWENYE
MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 11 SEPTEMBA 2014 NA KUANZA
RASMI MAFUNZO TAREHE 18 SEPTEMBA 2014 NA KUMALIZA TAREHE 17 DESEMBA
2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 15 MEI
2014 KUANZIA SAA KUMI (10) JIONI.
-
KIJANA YEYOTE MWENYE ULEMAVU UNAOONEKANA ARIPOTI KATIKA KAMBI YA MAFUNZO YA RUVU JKT (832 KIKOSI CHA JESHI).
-
VIJANA WOTE WANATAKIWA KUWA NA VYETI VYA KUMALIZA KIDATO CHA SITA ( LEAVING CERTIFICATE).
- INASISITIZWA VIJANA WARIPOTI KWENYE MAKAMBI WALIOPANGIWA NA SIO KUJA MAKAO MAKUU YA JKT.
IMETOLEWA NA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA.
0 comments:
Post a Comment