MTOTO MWENYE JUMLA YA VIDOLE 34..!! ANGALIA PICHA
Motto
mdogo amewashangaza walio wengi baada ya kuzaliwa na vidole 34…Akshat
Saxena ana vidole 7 katika kila mkono wake na pia ana vidole 10 katika
kila mguu wake lakini hakuna dole gumba…tazama picha zaidi hapa chini...
Mama
wa motto huyo “Amrita” alisema: nilikua na furaha pale nilipojifungua
motto huyo kwakua alikua motto wetu wa kwanza lakini nilipomuangalia
kwenye vidole nilishtuka sana..Niliingia intanet na kuandika rekodi za
mwanangu nikashtuka kuona mwanangu amevunja rekodi kwa kua hiyo rekodi
ilikua ikishikiliwa na motto wa kichina aliyekua na vidole 31(15mkononi
na 16 miguuni)..(alisema mama huyo)
Akshat
kutoka india kaskazini ameenda kufanyiwa surgery kuondoa vidole
vilivyozidi na madaktari wanajitahidi kutengeneza dole gumba kutokana na
vidole hivyo watakavyotoa…
0 comments:
Post a Comment