Saturday 3 May 2014

SIMANZI::NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA KUTOONEKANA, KIKOSI CHA ANGA KILICHO SHIRIKI KUITAFUTA CHASITISHA KAZI;


Kikosi cha anga kilichoshiriki kutafuta Ndege ya Malaysia iliyopotea kimesitisha rasmi zoezi hilo ghali kuwahi kufanyika duniani bila ya kupata mafanikio yoyote.

Wanaanga hao walikusanyika na kupiga picha ya pamoja katika uwanja wa jeshi wa Pearce nchini Australia hapo jana.
Hata hivyo zoezi la kuitafuta ndege hiyo chini ya bahari litaendelea kufanywa Kusini mwa bahari ya Hindi ambako inasadikiwa ndege hiyo MH370 ikiwa na abiria 239 ilitumbukia na kupotelea baharini, Machi 8, mwaka huu.
NA MTANDAO 

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA