HII KALI:KITUKO CHA LEO BUNGENI: MH. LUGOLA ATINGA NA BANGO LA KUOMBA KURA BUNGENI DODOMA LEO.
Mh. Lugola baada ya kuingia Bungeni akiwa amevalia bango la kuomba Kura kwa wabunge wenzake
Mh . Lugola akiwa anavua bango lake Baada ya Mbunge Mh. Mchungaji Msigwa kuomba muongozo wa Mh. Spika na kuamuliwa avue bango hilo
Mh. Lugola baada ya kuvua bango hilo na kuendelea na kuomba Kura.
Picha zote na Dodoma yetu Blog
0 comments:
Post a Comment