Wednesday 11 June 2014

JIONEE HALI ILIVYOKUWA BAADA YA AJALI YA ROLI LA VINYWAJI MKOANI RUVUMA...!


 Ajali hii imetokea  lililopita maeneo ya Msamala katika manispaa ya Songea...kwa mujibu wa taarifa hakuna mtu aliyefariki zaidi ya kupata majeraha madogo madogo!Chanzo cha ajali hakijajulikana haswa ni nini.
 Barabara ikawa ndogo kwa muda...
  Baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo..

 wale wa gambe sijui ilikuaje!
chanzo cha ajali hili ni basi lilifeli breki..hakuna madhara makubwa yalotokea..

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA