Monday, 15 September 2014

NICK MINAJ APATA AIBU KUBWA BAADA YA TAKO LAKE FEKI KUPOROMOKA AKIWA JUKWAANI*ONA HAPA


Tokea nicki minaj aanze kujulikana kwenye tasnia hii ya muziki , ni wazi kujua kwamba minaj anamtindo wa kufanya plastic surgery  kwenye mwili wake kama hauamini jaribu ku-google picha zake za zamani. Taarifa ni kwamba Nicki Minaj anasumbuliwa na maumivu kwenye tako lake baada ya tako  hilo kuhama upande wakati akiperform kwenye Fashion Rocks  siku ya jumanne usiku. Mtandao wa MediaTakeOut umeripoti..
Taarifa zinasema Minaj alijiumiza wakati akijaribu kujibinua. Watu walisikia kelele kwa wakati huo na wengi wao walizani limepasuka sababu tako hilo ni feki. 
                            >>>>CHEKI HABARI KALI HAPA<<<

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA