Monday 15 September 2014

ANGALIA VIDEO MWANAMKE ANAYEDHANIWA KUWA NA ULIMI MREFU KULIKO WOTE DUNIANI



 Msichana Chanel Tapper, 21 wa Houston huko Us amethibitika kuwa ndiye msichana 
mwenye ulimi mrefu kuliko wote Duniani na kuingizwa katika rekodi za Guinness.Mwezi September 2011 alialikwa na Guinness huko Los Angeles na kupimwa urefu wa ulimi wake ambapo ulithibitika kuwa na urefu wa sm9.7 na kuwashinda wapinzani wake wawili. Alieleza kuwa haoni tabu yoyote kuwa hivyo bali anachukulia kama kitu cha kufurahisha..




0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA