LAANA..MWANAMUZIKI ELTON JOHN KUOLEWA LEO
ELTON JOHN (KULIA) AKIWA NA MUME WAKE MTARAJIWA |
Mwanamuziki nguli wa nchini Uingereza, Elton John anatarajia kuolewa katika ndoa ya jinsia moja na mpenzi wake wa siku nyingi aliyedumu naye kwa miaka 20, David Furnish.Mwanamuziki huyo anatarajia kufunga ndoa leo mwezi Desemba tarehe 21,mwaka huu,Elton John ana umri wa miaka 67 na mpenzi wake ana umri wa miaka 52 wametangaza nia ya kufunga ndoa baada ya kuishi muda mrefu kama mume na mke.
Pamoja na kuwa baadhi ya nchi hazikubaliani na suala la kufunga ndoa kwa watu wa jinsia moja,lakini wanaume hao wameamua kuhalalisha na kudai wanafurahia maisha hayo.
0 comments:
Post a Comment