Sunday, 21 December 2014

EMMANUEL OKWI AFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE NAKALEGA!



ndoa
Mshambliaji wa klabu ya Simba na timu ya taifa ya Uganda,Emmanuel Okwi mwishoni mwa juma hili alifunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi Nakalega Florence.

Ndoa hiyo ilifungwa mwishoni mwa juma hili nchini Uganda na kuhudhuliwa na ndugu jamaa na marafiki.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA