Tuesday 21 April 2015

PACHA WA FELLAINI NI SOO!! ACHANGANYA WATU MOURINHO KIDOGO NAE ACHANGANYWE> CHEKI HAPA

Sikia hii kali, Kocha Jose Mourinho aliambiwa kiungo mrefu wa Man United, Marouane Fellaini hatacheza mechi dhidi ya Chelsea.



Kisa, mfungua mlango wa hoteli alimueleza Mourinho kwa Fellaini alikwenda kuchukua tiketi za kuingia katika mechi hiyo kwa mmoja wa wachezaji wa Chelsea.

Kumbe, mfungua mlango huyo wa hoteli alijichanganya kwa kuwa mtu huyo alikuwa ni pacha wa Fellaini aitwaye Mansour.

Baadaye Mourinho akaingia kuingia kwenye mtandao na kugundua yule mhudumu wa alijichanganya.
-SALEHE JEMBE

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA