VAN PERSIE KUPIMA AFYA FENERBAHCE
09:17 |
No Comments |
Nilikupa taarifa kwamba Fenerbahce wamekubaliana na Manchester united ili Van Persie ahamie kwenye club yao. Kilichobaki ilikua ni kwa Van Persie na yeye ahusishwe kwenye haya mazungumzo.
Kwa mujibu wa vyanzo vya uhakika, Robin van Persie anajiandaa kufanya vipimo vya afya leo katika klabu ya Fenerbahce. Kama anafanya vipimo vya afya maana yake mambo tayari yameshakuwa poa kwa Fenerbahce.
Van Persie anatimka Manchester United majira haya ya kiangazi na kwenda kujiunga na miamba hiyo ya Uturuki.Mshambuliaji huyo wa Uholanzi anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka minne na atapima afya leo mjini London.
Related Posts:
LIVERPOOL ,SPURS ZAMALIZA VIPORO NA KUSONGA MBELE KOMBE LA FA Mshambuliaji wa Liverpool, Christian Benteke akipiga kichwa kilichoenda juu ya lango la Exeter City katika mchezo wa marudiano wa Raundi ya Tatu … Read More
PICHA: TERRY AIKOA CHELSEA NA KIPIGO TOKA KWA EVERTON Nahodha wa Chelsea John Terry ameibuka kuwa mkombozi pale alipofunga goli la kusawazisha katika dakika ya 98 wakati wakicheza dhidi ya E… Read More
BARCELONA YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA MFALME Mshambuliaji wa Barcelona, Neymar akiifungia timu yake bao la tatu katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Athletic Bilbao kwenye mchezo wa Kombe la Mfal… Read More
KAMA ZALI: ROONEY AZIMA CHECHE ZA LIVERPOOL ,MAN UNITED IKISHINDA 1-0 Nahodha wa Manchester United, Wayne Rooney akishangilia baada ya kuifungia bao pekee timu yake katika ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya… Read More
MIEZI MITATU KLOPP AIFIKISHA LIVERPOOL FAINALI KOMBE LA LIGI Liverpool wametinga Fainali ya C1C, Capital One Cup, baada ya kuishinda Stoke City Uwanjani Amfield kwa Penati 6-5 baada ya kufungwa… Read More
0 comments:
Post a Comment