Tuesday 4 August 2015

XAVI HANRNADEZ NAHODHA MPYA WA BARCELONA, MESSI AWA MSAIDIZI

Baada Xavi Harnandez kustaafu, Andres Iniesta ndiye nahodha mpya.


Iniesta ameteuliwa na wachezaji wenzake kuwa nahodha mpya kwa kuwa awali alikuwa msaidizi.

Baada ya Iniesta, kuna manahodha watatu wasaidizi ambao ni
Lionel Messi, Sergio Busquets na Javier Mascherano.



0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA