CHELSEA MAMBO SAFI UEFA YASHINDA 4-0
Chelsea imeitwanga Maccabi Tel Aviv yaIsrael , kwa mabao 4-0.
Mabao ya Chelsea katika mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya yamefungwa
na Cahill, William, Oscar na Zouma.
Kwa ushindi huo, Chelsea imechukua uongozi wa Kundi G baada ya kufikisha pointi 10, sawa na FC Porto ambayo imechezea kichapo cha mabao 2-0.
0 comments:
Post a Comment