Wednesday 30 December 2015

LEICESTER CITY ,MAN CITY HAKUNA MBABE



 Leicester City na Man City zimemaliza mechi yao ya Ligi Kuu England kwa matokeo ya 0-0.


Kwa matokeo hayo, Leicester imefikisha pointi 39 sawa na Arsenal, lakini inabaki kutokana na tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa.

Man City wao wanakuwa katika nafasi ya tatu palepale safari hii wakiwa na pointi 36.






0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA