MKUU WA WILAYA YA MOSHI ,NOVATUS MAKUNGA AFANYA ZIARA HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga alipofanya kikao na viongozi wa hosptali ya rufaa ya KCMC ya mkoani Kilimanjaro. |
Baadhi ya wakuu wa idara waliongozana na mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga alipofanya ziara katika hospali hiyo. |
Baadhi ya wakuu wa itengo katika hosptali ya KCMC. |
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akiwa katika kitengo cha macho alipofanya ziara katika Hosptali ya Rufaa ya KCMC. |
dc Makunga akitoka kitengo cha Macho akiongozana na Mkurugenzi mkuu wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC ,Dkt Giliard Masenga . |
DC Makunga akipita katika wodi mbalimbali hosptalini hapo. |
Dk Bingwa wa magonjwa ya figo,Dkt Kilonzo akitoa maelezo kwa mkuu wa wilaya ya Moshi ,Novatus Makunga alipotembelea hosptali hiyo. |
Mkuu wa wilaya akizunumza jambo mara baada ya kutembelea chumba chenye mashine ya CT -Scan katika hosptali hiyo,kulia ni mkuu wa kitengo hicho Dkt Fatma. |
0 comments:
Post a Comment