Thursday 28 January 2016

BARCELONA YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA MFALME

Mshambuliaji wa Barcelona, Neymar akiifungia timu yake bao la tatu katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Athletic Bilbao kwenye mchezo wa Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou na kutinga Nusu Fainali. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Luis Suarez na Gerard Pique wakati la Bilbao limefungwa na  Inaki Williams.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA