Thursday 28 January 2016

PATACHIMBIKA: LIVERPOOL USO KWA USO NA MANCHESTER CITY FAINALI KOMBE LA LIGI

Mshambuliaji Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la tatu katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Everton usiku wa jana kwenye mchezo wa Kombe la Ligi Uwanja wa Emirates. Mabao mengine ya Manchester City ambayo sasa inatinga fainali ya Capital One Cup kwa ushindi wa jumla wa 4-3, baada ya awali kufungwa 2-1 na Everton ugenini na watamenyana na Liverpool Februari 28 Uwanja wa Wembley, yamefungwa na Fernandinho na Kevin De Bruyne wakati la Everton limefungwa na Ross Barkley.
Aguero akipachika bao la tatu katika mchezo huo

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA