Wednesday 6 January 2016

LICHA YA USHINDI,KLOPP AKIRI MAJERAHA YATAMLAZIMU KUSAJILI

Jurgen Klopp amesema Liverpool inalazimika kusajili beki dirisha dogo 

KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp klabu italazimika kusajili beki katika dorisha dogo kutokana na kuandamwa na baa la majeruhi.
Philippe Coutinho na Dejan Lovren wote wameumia nyama timu ikishinda 1-0 dhidi ya Stoke katika mchezo wa kwanza Nusu Fainali ya Kombe la Ligi. 
Dejan Lovren grimaces after injuring his hamstring in Tuesday's night's Capital One Cup win against Stoke
Martin Skrtel tayari yuko nje ya Uwanja kutokana na maumivu ya nyama na naye anasumbuliwa na maumivu ya mguu, Mamadou Sakho anasumbuliwa na goti na Kolo Toure aliumia Uwanja wa Britannia Stadium, maana yake Klopp anakabiliwa na tatizo la mabeki wa kati.
Liverpool inataka kumsajili beki wa Schalke, Joel Matip lakini mpango wowote wa kumsajili beki huyo wa kimataifa wa Cameroon, hauwezi kufanikiwa hadi mwishoni mwa msimu.

 
Coutinho and Klopp embrace after the Brazilian was forced off with a hamstring injury

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA