Saturday, 30 January 2016

RASMI::PATO ATUA CHELSEA KWA MKOPO

Chelsea have completed the signing of striker Alexandre Pato on loan from Brazilian club Corinthians
Mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil, Alexandre Pato akikabidhiwa jezi ya Chelsea na Mkurugenzi wa Ufundi wa klabu hiyo, Michael Emenalo makao makuu ya klabu hiyo, viwanja vya mazoezi vya Cobham jana baada ya kusaini mkopo wa hadi mwisho wa msimu kutoka Corinthians ya kwao, Brazil.
PICHA -Daily Mail


ALEXANDRE PATO CAREER STATS 

*all competitions 


The former AC Milan star said: ‘I am so happy to sign for Chelsea. It is a dream for me.'

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA