17:41 |
|
|
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akisoma hotuba yake
kabla ya kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama
katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala
eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016 |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya
Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean
Road jijini Dar es salaam February 4, 2016 |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya
Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean
Road jijini Dar es salaam February 4, 2016
PICHA NA IKULU |
0 comments:
Post a Comment