Tuesday 1 March 2016

CHELSEA YAPETA LIGI KUU ENGLAND

Diego Costa wa Chelsea akiushuhudia mpira ukitinga nyavuni baada ya kumchambua kipa wa Norwich katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumanne Uwanja wa Carrow Road. Chelsea ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Kenedy na Coasta, wakati la wenyeji lilifungwa na Nathan Redmond.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA