TUHUMA ZA UFISADI, ZITTO, BASHE WAJIUZULU UJUMBE KAMATI YA BUNGE
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, ameishutumu Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe wamepokea rushwa.
Alichokiandika Zitto: “Kutokana na shutuma hizo ameamua kumuandikia spika barua ya kujiuzulu na kumtaka achunguze na kuchukua hatua.”
Hii ni nakala ya barua yake aliyomwandikia spika wa bunge
Naye Mbunge wa Nzega Mjini, ametoa shutuma kwa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe wamepokea rushwa.
Kutokana na shtuma hizo, Bashe ameamua kuungana na Zitto Kabwe kumuandikia spika barua ya kujiuzulu na kumtaka achunguze na kuchukua hatua.
Hii ni nakala ya barua yake aliyomwandikia spika wa bunge
0 comments:
Post a Comment