Wednesday 30 March 2016

UHOLANZI YAILAZA UINGEREZA NYUMBANI KATIKA DIMBA LA WEMBLEY

Timu ya Uingereza iliyojaa matumaini baada ya ushindi dhidi ya Ujerumani imejikuta ikifungwa mabao 2-1 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Uholanzi ambayo haikufuzu michuano ya Euro 2016.

Katika mechi hiyo ya jana usiku iliyopigwa kwenye dimba la Wembley timu hizo zilisimama kucheza katika dakika ya 14 ili kutoa heshima kwa mchezaji wa zamani nyota Johan Cruffy aliyefariki dunia.
                        Janssen akifunga goli la penati na kumpoteza kipa Fraser Forster
                                  Jamie Vardy akifurahi bao alilofunga akiwa na Kyle Walker

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA